Recent content by Rjb mbembe

  1. Rjb mbembe

    MSAADA: Safari ya kisiwa cha Reunion

    Kwel kbx nisaidien maelezo jinsi ya kutembea jmn kwakutokea dar kwa boti mpk nifik uko nchi zipi jiran nipit
  2. Rjb mbembe

    MSAADA: Safari ya kisiwa cha Reunion

    Daaaa Shukran kk nimekuelewa
  3. Rjb mbembe

    MSAADA: Safari ya kisiwa cha Reunion

    Kivp kaka ninay ndio
  4. Rjb mbembe

    MSAADA: Safari ya kisiwa cha Reunion

    Bro mm staki visa natak nkifika nisem mm mkimbizi tu ndomn ntak niende comoro kisha Madagascar mpk nifike uko
  5. Rjb mbembe

    MSAADA: Safari ya kisiwa cha Reunion

    Kk najuwa lkn mm natak nikafte lufe uko natak niende kiujanja tu nipitie nchi jirani mpk nitimbe lkn sjaelewa njia vzr ndomn nlikuwa naomb msaada anielekeze jins yakutengeneza saffar yangu
  6. Rjb mbembe

    MSAADA: Safari ya kisiwa cha Reunion

    Nahitaji kufahamu kwa mtu anayejua bei za safari ya kwenda kisiwa cha Reunion kwa kutumia boti. Natamani nipitie Comoro, Madagascar mpaka Reunion Msaada wenu juu ya safari hiyo kuhusu bei za nauli mpaka nifike huko, ndege sitaki kutumia.
Back
Top Bottom