Maendeleo yanaanza na wewe mnataka usafi fanyeni wenyewe hao wahusika ukute hawaishi hapo na hawajali,mwisho wa siku magonjwa mnapata nyie na gharama za kujitibia ni zako serikali haitakuokoa na kila kitu wala kutatua kila lalamiko,na mvua zikianza hapo mtalia. Na huo uchafu sio ajabu nyie...
Leo nilipopanda mwendokasi nilishangaa kukatwa nauli ya Shilingi 2,000.
Naomba kufahamu, nauli hii mpya imeanza lini na kwa nini DART hawajatangaza rasmi kuhusu ongezeko hilo hadi sasa?
Wananchi wanahitaji kupata taarifa sahihi kuhusu mabadiliko ya nauli ili kuepuka sintofahamu na kuhakikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.