Recent content by riyan solanki

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimemchomea mke wangu kazini kuwa anatumia cheti feki

    Mama yangu nimekielewa kilio chako (i know you are just kidding) but nikuhakikishie tu kwamba ameteseka labda ni kwa sababu tu mkasa mzima nimeulezea siku moja na mrejesho siku mbili mbele ndo maana unaona kama hajateseka Hali halisi ni kwamba ameteseka maana sikuweka muda kutoka tukio moja...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimemchomea mke wangu kazini kuwa anatumia cheti feki

    Wana Jf nawashukuru kwa mawazo yenu wote, yamenipa nguvu Ni mungu ndie alinipa njia ya kutoka kwenye hili tatizo na yeye ndie ataendelea kuniongoza hata nikipita kwenye bonde la uvuli Wa mauti yy atakua nami, maamuzi ya kwanza ya kumlipua wife niliyafanya kuwaokoa watoto na Haya pia nafanya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimemchomea mke wangu kazini kuwa anatumia cheti feki

    Nawasalim wote, Ijumaa nili share na nyinyi masahibu yaliyonikuta kati yangu na mke wangu kwa ambae hakuusoma naomba arejee post hiyo katika thread hiyo niliwaambia kwamba kulikua na msafara wa wazazi wa mke wangu wa zamani ambao wangekuja weekend iliyoisha jana kwa ajili ya usuluhishi hivyo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nimemchomea mke wangu kazini kuwa anatumia cheti feki

    Wapendwa wana Jf nawasalimu, Ndoa yangu ilifikia ukingoni rasmi mwaka Juzi 2013 mwezi Februari, hata hivyo kabla ya hapo tulikua tumetengana kwa karibu mwaka mmoja nyuma. Chanzo cha ugomvi wetu ni usaliti aliokua akiufanya na dogo mmoja Dalali wa magari. Zilikua ni tuhuma tu ila baadae...
Back
Top Bottom