Mbona ninyi ukawa mnajisahau ... mmechukua makapi kutoka ccm nliokuwa mnayaita mafisadi?.... Lowassa mamvi, Nyalandu mzee wa twiga na ma miss tz, sumaye,, tena mkawapa na nyadhifa kbsa.. soon mmoja wao atakua mwenyekiti ndo mtakapoelewa kuwa ccm imewatawala ndani na nje..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.