Recent content by right way

  1. right way

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Hiii bado ipo
  2. right way

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Ivi mkuu ile pickup ulio post ya 2.5M ushauza nimeitafuta sijaiona tena
  3. right way

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Mkuuu bajeti 3M naweza pata gari ndogo ya kazi isipo kuwa kilikuuu
  4. right way

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Kiukweli mkuuu uko vizur ninafuatilia uzi wako mpaka basi probox kwa bajeti ya 4m au chin kidogo ya hapo
  5. right way

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Probox vp mkuuu
  6. right way

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu wa Chemistry na Biology

    Asant
  7. right way

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu wa Chemistry na Biology

    Samahan mkuuu nakubali nimekosea kuandika
  8. right way

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu wa Chemistry na Biology

    Nashukuru sana mkuu mungu akujalie hekima zaidi
  9. right way

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu wa Chemistry na Biology

    Nashukuru sana MKUU hicho ulicho ongea hapo mwishon niukweli mtupu kwa kweli mm pia Niko radhi Fanya hivyo endapo fulsa nimeipata shida tuuu ntapata wapi ndio mtihan mkuu
  10. right way

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu wa Chemistry na Biology

    Mkuuu kwanza nakushukuru kwa kunitag kiukweli mkuuu namba mbili (2) na (3) ziko vizur mkuuu nimesema Mimi ni kijana nipo tayar kufanya Kaz yoyote ile halali hajalishi kile nilicho somea mkuuu kama kuna fulsa mkuu nisaidie mwenzio
  11. right way

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu wa Chemistry na Biology

    Sawa mkuu kwa ushaur nashukuru mungu yu pamoja nami ntafikia hapo tuuu
  12. right way

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu wa Chemistry na Biology

    Kwa upande wa kufundisha ilo ondoa shaka nayamudu masomo yangu vizur ila tuuu sijapata mwelekeo mzur mkuuuu
  13. right way

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu wa Chemistry na Biology

    Asant mkuuu kwa ushauri
  14. right way

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu wa Chemistry na Biology

    Habari za muda huuu wakuu! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 ninaomba msaaada wenu wa dhati kwa yeyote aliye au anaye fahamu mahali palipo na uhitaji wa vijana wa kazi Kielimu nimemaliza diploma ya ualimu masomo ya chemistry na biology si mara yangu ya kwanza kuleta uzi huu ila mwanzo...
Back
Top Bottom