Jibu la Diamond Platnumz kwa shabiki aliyemwambia kuwa kwasasa amekua ashikanishikani na wanawake. Diamond kajibu comment hiyo kupitia ukurasa wa Instagram wa @wasafitv ambao shabiki huyo aliacha comment hiyo.
.
Nini maoni yako juu ya jibu hilo la @diamondplatnumz
.
Tembelea YouTube kuna stori...
Ni miezi imepita toka kusambaa kwa VIDEO ikiwaonesha wasanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialnandy na @billnass wakiwa faragha kitu ambacho kilizua gumzo kubwa sana mtandaoni.
Jambo hili halikupita tu na kuchukuliwa poa na @officialnandy kumbe Nandy alikuwa chimbo akitafuta ukweli juu ya mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.