Uko sahihi ila kama hauna pesa hii sio kitu Cha kufanya coz ukumbuke pia pesa inashuka thamani Kila siku mfano tsh 10000 ya mwaka 2014 SI sawa na tsh 10000 ya 2024.
Best way ya kuwekeza bila kupotezea ni kwenye ardhi au tafuta kampuni ndogo fanya ku bet ili mkue pamoja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.