Recent content by Richmankind

  1. Richmankind

    JamiiForums Tanzania Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Mkuu infinity do exist Emn naomba nitajie number ya mwisho wewe unayoijua Numbers are infinity mkuu
  2. Richmankind

    JamiiForums Tanzania Je, kila nafsi itaonja mauti?

    Msamehe amekurupuka
  3. Richmankind

    JamiiForums Tanzania Je, kila nafsi itaonja mauti?

    Mkuu labda wewe ndo haujasoma vzr Hakuna sehemu Scars amesema uhai utuzwe Amesema miili ya watu iliyokufa ndo inatuzwa Ili kama dawa ya kifo ikipatikana basi itumike kwenye ile miili
  4. Richmankind

    JamiiForums Tanzania Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

    Mkuu kabla ya yote Roho ni nini?? Nitajuaje kwa ufasaha kwamba hii ni roho na hiii sio roho labda ni kitu kingine ambacho sijakujua?? Unaweza kuthibitisha pasipo na Shaka kwamba Kuna roho??
  5. Richmankind

    JamiiForums Tanzania Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

    Mkuu salama?? Bila Shaka mkuu hapa umeleta speculations Unatuthibitishiaje kwa haya maelezo yako?? Kiranga
  6. Richmankind

    JamiiForums Tanzania Hivi binadamu anaweza kuongea na Mungu wake anayemwamini?

    Yan uyu hata kidato cha pili hajafika. Reproduction as topic inaanza kufundishwa standard six Kweli ujinga ni wa kupingwa
Back
Top Bottom