Recent content by richard mlwande

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yetu yana miaka saba sasa............

    Jamani mimi nina mchumba wangu mwaka wa 7 sasa,kwetu hajulikani rasmi na nina mpango siku moja nikamtambulishe,lakini inavyoonesha home hawamkubali sana na mimi mwenyewe wazo la kumuoa nahisi linafifia.Kumuacha naogopa coz kuna siku alinambia siku nikimuacha ANAJIUA so sielewi jamani NAOMBENI...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Some times stress huwa zinapelekea hilo,kwan huathiri ubongo na kupelekea mwili kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja.
Back
Top Bottom