Recent content by Rich Camily

  1. Rich Camily

    JamiiForums Tuzurure makwetu

    Very shame [emoji17]
  2. Rich Camily

    JamiiForums Tuzurure makwetu

    Tukubaliane tu nchi yetu imeharibiwa na kitu kinaitwa demoghasia na kujipaka matope kwa wageni wasio na muda na sisi alafu sisi tuna muda nao istoshe tunawatembelea kabisa mpaka nchini kwao tukidai tunadumisha ushirikiano[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3578]inauma sana
  3. Rich Camily

    JamiiForums Kujipendekeza ni utumwa

    Leo Hii viongozi wanazidi kujipaka matope kutaka ushirikiano Kwa nguvu na nchi za ughaibuni , wamesahau Maliasili tulizo nazo zinazidi kutoweka kupitia wao huku wakiita ni uwekezaji, Sasa tunawekeza au tunawawekezea
Back
Top Bottom