Recent content by Riben

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ninauza Dagaa wa kukaanga

    Well,kama ulimaanisha ile thread za kuku kuna matetea na majogoo. Karibu sana
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ninauza Dagaa wa kukaanga

    Sijakuelewa
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ninauza Dagaa wa kukaanga

    Tuko Dar,Musoma na Mwanza
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ninauza Dagaa wa kukaanga

    Miezi sita na kuendelea wakiwa sehemu kavu salama. Kwa home kama unataka za kuunga nyanya Pia kama una friza unaweza kuandaa kiasi cha mlo mmoja mmoja unfreeze /gandisha ukitaka kupika unatoa na kutia mafuta kidogo then unaunga mboga yako. Karibu
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ninauza Dagaa wa kukaanga

    Tuko Dar, Musoma na Mwanza. Unatumiwa popote. Karibuni sana
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ninauza Dagaa wa kukaanga

    Dagaa waliokaangwa wakiwa wabichi. Kwanini ununue kwetu? *Hawana mchanga wala uchafu *Wamekaangwa wakiwa wabichi hivyo wanaweza kuliwa baada ya kupashwa tu sio lazima kuunga na nyanya. * Wametiwa viungo kwa harufu nzuri * Ni salama sana kwa matumizi ya nyumbani na familia sababu wamekaangiwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Samaki wa kukaanga (sato)kutoka Mwanza

    Karibu. Nakufuata PM
  8. R

    JamiiForums Tanzania Samaki wa kukaanga (sato)kutoka Mwanza

    Amen...asante sana. Karibu
  9. R

    JamiiForums Tanzania Samaki wa kukaanga (sato)kutoka Mwanza

    Tupo Musoma,Mwanza na Dar. Malipo unafanya baada ya kupokea mzigo kutegemeana na uhakika wa oda yako. Karibu sana
  10. R

    JamiiForums Tanzania Samaki wa kukaanga (sato)kutoka Mwanza

    Karibu sana
  11. R

    JamiiForums Tanzania Samaki wa kukaanga (sato)kutoka Mwanza

    Ni wa uzito wa kg 1 wakiwa wabichi. Dar samaki sato kilo 10000. Hawa wanakua wamekaangwa tena fresh kabisa kutoka ziwani na usafiri juu yangu. Karibu
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji pure si chotara

    Unaletewa kuanzia wawili, bei inaanzia 15000-20000. Karibu 0659251217
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji pure si chotara

    Wazima
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji pure si chotara

    Shukrani.Karibu
  15. R

    JamiiForums Tanzania Samaki wa kukaanga (sato)kutoka Mwanza

    Wamekaangwa wakiwa fresh bila kuwekwa kwenye mabarafu hivyo wana ladha asilia. Karibu kwa oda na utapokea baada ya siku mbili. Tunatuma mikoa yote bei yake kwa samaki wawili wakubwa ni 15000. Mawasiliano kwa simu, meseji au WhatsApp ni 0659251217.
Back
Top Bottom