Huyo unae mwita kiranja ni kiongozi mkuu wa nchi na kwa taarifa yako Urais ni taasisi yenye watu wengi kwa hiyo anapewa ushauri na anafanyia kazi.Nawashangaa sana watu wanasema Rais apokei ushauri si kweli hakuna kiongozi anaeweza kuongoza nchi bila kushauriana na wasaidizi wake pamoja na...
Tuache kuleta taarifa za kusikia ambazo hazina ukweli wowote na tunataka kuaminisha umma kuwa serikali inachukua pesa za watu kwa nguvu.Naomba tuache uzushi na uongozi huo.hili ni swala nyeti sana si busara hata kidogo.TUACHE UZUSHI USIO NA MAANA HII NCHI NI YETU WOTE IKIHARIBIKA SOTE TUTAUMIA
Kwa heshima na taadhima napenda kuwakilisha mawazo yangu juu ya huu mjadala unaoendelea kati ya wanaotamani membe awe mgombea 2020 na wale wasiotaka kusikia hata kidogo kuhusu wazo hilo.nchi yetu tangu tupate uhuru imetawaliwa na Chama kimoja na Chama hicho kimejiwekea utaratibu wa kuheshimu...
Ndg yangu hujafa hujaumbika,wewe unamwita mwenzio kilema wakati unajua lililotokea.sasa wewe utakuwa kiwete kabisa na kwa kuwa umetamka kwa dharau wewe itakuwa kweli ndipo utakapotambua kuwa usimdhihaki mwenzio kwa kutumia Hali yake.
Makonda ni tatizo kubwa katika taifa.kila zoezi analolianzisha limekuwa ni tatizo kwa nchi nzima.Kwa nini ni makonda kila wakati na kila zoezi serikali imetumia nguvu kubwa sana kuzima ili tu kuleta Amani. Nafikiri ni wakati muafaka kwa serikali kufanya uamuzi makini kumweka kando ili kuondoa...
Naomba tuache kabisa kuhusisha serikali na mambo ambayo si kweli.kuna ujambazi na uharamia mkubwa unafanyika nchini kila siku hivi ni kweli serikali ndio inahusika, hapana si kweli.tukio la kutekwa MO ni tukio lililopangwa na watu wabaya sio serikali.Mo ni mfanyabiashara inawezekana kabisa akawa...
Hakuna tatizo wala hakuna sheria inayozuia Mh Rais kusimamisha RPC.kwanza naomba ifahamike kuwa Mh Rais ndiye amiri jeshi mkuu wa majeshi yote,kwa sababu hiyo yeye ndio kiongozi mkuu wa majeshi yote.pili yeye ndiye mwenye mamlaka yasiyo na kizuizi chochote maana ndio mkuu wa nchi.kwa sababu hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.