Recent content by reyada

  1. reyada

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    "Hatufuati maneno ya majini hata Kama wanadai kuwa waislamu" haya ni maneno yako naomba nikuulize swali wewe una mamlaka gani katika dini hii ya uislamu kufikia hatua ya kusema hayo? Ikiwa Allah amekubali kuwa majini kuwa waislamu Mimi Nani nipinge? Alafu si kila jini ni shetani hata binadamu...
  2. reyada

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Unapokuja kwenye jukwaa hili hakikisha una elimu kuhusu majini,watu, na mashetani,mfano ukisoma Surat jin Allah ananukuu kuwa kundi mojawapo la majini lilisikia Qurani ya ajabu inaongoza kwenye uongofu ,je unataka kuniambia Hawa ni mashetani hawapaswi kuaminiwa?
  3. reyada

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Acha kukurupuka!!!
  4. reyada

    JamiiForums Tanzania Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

    Ndugu naomba nikusahihishe Kama utapenda? Quran haijaundwa kupitia vitabu hivyo isipokuwa Allah alikuwa anafanya nukuu kwa badhii ya Mambo kwa manabii waliotangulia kabla yake yeye Muhammad!
  5. reyada

    JamiiForums Tanzania Hakuna ubishi, bila biblia, hakuna uislam. Kama ukristo ungedukua na kukopi na kupaste quran, hali ingekuwaje?

    Hebu niambie uyahudi ulikuwa duniani miaka mingapi kabla ya ukristo?
  6. reyada

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Habari yako? Mbona kimya Sana? Ila pole kwa majukumu! Tunakusubiri kwa hamu!
  7. reyada

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Namsalimia arsis mwambie nafurahia na kufatilia darasa lake ! Ila naomba kuuliza hivi ni kweli mtume Muhammad ,alimuoa Bi Aisha akiwa na miaka sita? Kama ni kweli naomba ufafanuzi wa kimazingira kipindi hicho,kidini,kisayansi, lingine hii ndoa naona Kama inanipotezea muda nataka kuacha mke je...
Back
Top Bottom