Habari wana jf,
Mimi ni mwanamke wenye umri wa miaka 33. Mimi ni kibarua tu wa kiwanda fulani. Nimejitokeza jukwaa hili kutafuta life-mate partner ambaye ana uhitaji kama wangu.
Awe na akili timamu na awe shughuli halali. Umri kuanzia 34 na kuendelea, awe muwazi na mkweli. Kwa aliye tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.