Recent content by reubenzabron

  1. R

    Kusomea ualimu kutoka kidato cha nne

    Kama ni hivo mbona madogo wenye division 4 mwaka huu hawajachukulwa mwana
  2. R

    Waliochaguliwa vyuo vya ualimu 2014/2015

    Poa na second selection hamna nn
  3. R

    Waliochaguliwa vyuo vya ualimu 2014/2015

    niliomba cheti kaka naombeni muniangalizie jamani
  4. R

    Waliochaguliwa vyuo vya ualimu 2014/2015

    Reuben kabujanja niangalizie kaka
  5. R

    Ada ya mafunzo ya ualimu stashahada ya juu na stashahada ya kawaida ya shule ya msingi

    Ww muongo mwaka huu hakuna hata mmoja aliyechaguliwa mwenye 4
  6. R

    Nini hatima ya wenye daraja la nne wanaosomea ualimu vyuo binafsi 2014?

    Kwa hyo wale wenye forn iv za 26 hawafai kabisa au
  7. R

    Nini hatima ya wenye daraja la nne wanaosomea ualimu vyuo binafsi 2014?

    Jamani wenye division four hawatachaguliwa kabisa au make pressure zmenizid
  8. R

    Majina yametoka NACTE kwa wale waliokosa first batch

    Kwani kuna maombi mengine ambayo yametumwa tena ya ualimu maana sina laha kabisa make nlipata dvion 4, 26 nlifanya masomo 9 yaan saync na arts nlipata maxomo 8 D flal na B ya kiswahili sasa cjui kama watanipa nafasi ua ??!!!
  9. R

    Majina yametoka NACTE kwa wale waliokosa first batch

    Kwani jumatatu hata wenye divion 4 watakuwemo nn
  10. R

    Waliopata point 26/27 ya miaka ya nyuma ualimu ndio basi?

    serikali imewaacha wadogo zetu haijawapeleka katika vyuo vya ualimu je ndo basi au wana mpango gani juu yao au ndo elimu yao imeishia hapo naomben msaada wenu kwa ufafanuzi zaidi
  11. R

    Naomba kueleweshwa kuhusu Tangazo la NACTE

    Kwani kuna majina mengine wataotoa tena
  12. R

    Naombeni msaada wenu kuhusu post za ualimu

    Kweli kwa hyo hata hao wenye point 26 wamechukuliwa kaka
  13. R

    Walioomba vyuo vya ualimu kupitia mfumo wa CAS NACTE mambo tayari ingia uone!

    Niangalizie reuben kabujanja kama nimechaguliwa kaka
  14. R

    Mliosema post za ualimu hazitoki tena mbona siwasikii?

    Niangalizieni naitwa reuben kabujanja namba yangu ya mtihani ni s 1642/0041 shule heri sec school nilipata point 26
Back
Top Bottom