Kaka ushauri mzuri, changamoto ni kuwa wife wangu hakulelewa na wazazi bali na bibi ambae nae kwa saaa umeri umeshaenda sana na amechukuliwa na watoto wake wanamlea so kiukweli wife hana pa kwenda ingawa ni mpambanaji mnooo nae alipoteza kazi baada ya kupata ujauzito ila kabla ya hapo wote...
Chief Nakuelewa Vyema Na Ushauri Wako Ni Babkubwa, Uzuri Ni Kuwa MI Ni Muumini Wa Kusafiri Na Nimeshafanya Attempts Kadhaa , Sina Sababu Hata Ya Kutafuta Agent 2022 Niliwahi Kufanya Kazi Na Agency Moja Hapa Dar Ya Kusaidia Watu Kusepa So At Least Nipo Na Uelewa Mkubwa Sana Juu Ya Opportunities...
Mimi NI Kijana, Umri Miaka 28 Mkazi Wa Dar Es Salaam!
Wakuu Mtoto Wa Kiume Akikiri Hadharani Kuwa Mambo Ni Magumu Ujue Kweli Ni Magumu, Na Hii Ikiwa Ni Mara Yangu Ya Kwanza Kuandika Chapisho Langu Humu Jamiiforums Licha Ya Kuwa Member Kwa KipindI Kirefu Kidogo
Nilipoteza Ajira Yangu November...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.