Mmoja wa maafande ambao ni marafiki wa madereva wa vyombo vya moto ikiwemo gari na Bodaboda ni Afande Adrian Rutaihwa Kamara. Kwa sasa yeye ni District Traffic Officer (DTO) wa wilaya ya Kipolisi Mabwepande.
Nimekuwa nikifuatilia kazi zake kwa kuwa nina uzoefu na maeneo yote aliyofanyia kazi...
Sio hela kabisa mkuu!
Ila kwa sisi tunashukuru kwa kila jambo, so hata ukinipa elfu kumi nitakuja kushukuru, sio kwa sababu ni kubwa ila kwa sababu ya uungwana, yaani elf 10 kwangu sio shida ila nikipewa nakuwa thankful
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.