ok,kwanza hongera,ushauri wangu nikutambua kila m2 mungu ana namna ya kumtoa ktka kila hali yoyote ile,omba na jaribu kutafta scholarships maana kuna baathi ya w2 uk wafwatilia utaweza kukubaliana nao,na zaidi usiwe na woga ,kama kuna SHIRIKA amblo lna weza toa msaada ,i advce u 2go and talk 2...