Recent content by renason

  1. R

    Jamaa huyu anaomba msaada

    Nashauri aende tena kulewa akirudi itakuwa rahisi kulitoa.
  2. R

    Anniversary ya miaka 15 na mke wa mtu

    kama mna watoto basi kuna sehemu mtu anahudumia watoto wasio wake either huko kwa mchepuko wako ama kwa mke wako...... anyway Happy Universally Mkuu.
  3. R

    Ni sahihi kumsaidia mpenzi wako wa zamani akikwama?

    kitalembwa, kwani mdogo wake kakukosea nini bro, kupigika kwake na life ni funzo tosha tu kumbuka huyo dogo lake nae ana mtu wake ataanza kumzingua jamaa yake kisa wewe so utakuwa ni mwendo wa visasi tu... cha msingi we malizana na huyo alokuwa demu wako.
  4. R

    Computer4Sale pc samsung R439

    Uko wapi mzee?? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom