Recent content by Rehemadick

  1. Rehemadick

    TecnoY4 kushindwa kutoa mwanga

    Tecno Y4 Nimezoea nikibonyeza kwenye screen inatoa mwanga ila Jana charge iliisha kabisa nikaiweka niicharge ila nilipobonyeza kwenye screen haitoi mwanga mpka nininyeze kwenye batani zake za pemben. Nini tatizo nisaidien wataalam Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Rehemadick

    Jinsi ya kutumia WI-FI bila kuwasha data inawezekana?

    Nielekeze Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Rehemadick

    Jinsi ya kutumia WI-FI bila kuwasha data inawezekana?

    Nina simu ya aina tecno w5 Lite ningependa kujua kama inawezekana kutumia WI-FI bila kuwasha data. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Rehemadick

    Mafua makali yasiyoisha

    Asanteeeeeee Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Rehemadick

    Mafua makali yasiyoisha

    Jamani naombeni ushauri Nina mafua makali sasa no mwaka wa 9 nimetumia dawa za hospital lakn bado dawa za mitishamba nimetumia lkn bado naangaika. Kuna MTU kama anajua utatuzi wa hili tatizo anambie Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Rehemadick

    Mashine za kufumia vitambaa

    Kuna mtu kanipa leo namba ya simu ya mtu anayeuza machine hizo. Anaitwa Emma macherehani nilimpigia akanambia anayo na ni laki 9, yupp kariakoo. Mmhhh hela ndefu ngoja nipambane Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Rehemadick

    Mashine za kufumia vitambaa

    Nipo chalinze Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Rehemadick

    Mashine za kufumia vitambaa

    Jamani ninaomba kuuliza hivi kuna mashine za kufumia vitambaa vya makochi/nyuzi au masweta? Mimi nashida nayo napata tenda nyingi ila siwezi kufuma kwa wakati kama kuna mtu anajua aniambie na sehemu zinapopatikana. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom