Watu wengi wanafikiri hivo kwamba walimu wanaiba lakini sio kweli hiyo posho wanayopewa na wana Kikundi ya sh efu 15 kila wanapotembelea Kikundi ni haki yao na wala hawafundishwi mwaka mzima inategemea na ushapu wao Wa kuelewa wengine wazito hasa kwenye mahesabu walimu wanasaidia sana kuliko...
Hodi hodi mi mwanaharakati Wa Maendeleo kwa wale wanaopensa masuala ya kuwa kwenye vikundi vya kukopeshana maarufu kama vicoba nitafurahi kuwa mwalimu wao na nitawasimamia mpaka wawe sawa gharama zangu nafuu sana wanaoniitaji wanitafute whatsapp kwa namba 0753226722 kama wewe kweli unahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.