Yaan mwanzon nlifikiri npo sahihi lakin ni kwel nilikosea kwani form yangu umetofautiana na za wengne walioupdate so inaonekana kama nilishia njian..bt kwa hapo naweza pata msaada au ndo nianze kuandika barua ya kupostpon mwaka tu??
mm ni continious student nko mwaka wa pili. nliomba mkopo ile first year nikawa nmepata bt wakati wa kuapdate mkopo kuingia mwaka wa pili nliapdate toka ule mwez wa 5 bt Juz kati hivi kna majina yaliyotolewa na bodi ya wanafunz ambao hawakuapdate (hawakuomba mkopo) kwa continous students..afu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.