Recent content by refan

  1. refan

    Nilivyoanza safari ya kuwa Youtuber 😀

    Ni kweli kabisa youtube hawana utani kwenye copyright hata kidogo, Mi nafanya maudhui ya games na ninatumia simu kila kitu, Natumia Capcut, alight motion na kidogo Kinemaster. Thumbnails Canva na pixellab ziko poa kabisa kikubwa ni intanet ya uhakika tu. Ila ujuzi utajulia mbele ya safari kadri...
  2. refan

    Nilivyoanza safari ya kuwa Youtuber 😀

    Kwa kuanzia so mbaya ni ku grind
  3. refan

    Nilivyoanza safari ya kuwa Youtuber 😀

    Sidhani kama inaruhusiwa mkuu
  4. refan

    Nilivyoanza safari ya kuwa Youtuber 😀

    Ishu ya account ya benki ni baadae kabisa baada ya kukubaliwa monetization kigezo 4000watch hours ndani ya siku 365 na ufikishe subs 1000:
  5. refan

    Nilivyoanza safari ya kuwa Youtuber 😀

    Ndio mkuu huezi jua 😅
  6. refan

    Nilivyoanza safari ya kuwa Youtuber 😀

    Kama una account ya gmail basi ingia kwenye app ya youtube. Kwenye account settings kuna sehem ya kufungua channel. Kila la heri
  7. refan

    Nilivyoanza safari ya kuwa Youtuber 😀

    English ila natumia TTS Kwa voice overs
  8. refan

    Nilivyoanza safari ya kuwa Youtuber 😀

    Wakuu salama? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nilitaka sana kua youtuber, hivyo nikasema lazima nijaribu nikifeli ni sawa. Basi nikafungua gmail hatimae channel, safari ya gaming content ikaanza Octoba 2022, Sina ujuzi wowote, muda kidogo nikapigwa strike kadhaa, Nikajifunza...
Back
Top Bottom