"Imepingwa na kusemwa kuwa, baada ya kukomesha umiliki binafsi wa mali, kazi zote zitakoma, na uvivu utaingia kwenye dunia nzima. Kwa mantiki hii, jamii ya kibepari ingekuwa imeshatoweka sababu ya uvivu wa kupindukia; sababu watu wake wanaofanya kazi hawapati chochote, na wale wanaopata chochote...
Anatetea ubinafsishaji kwa kusema kuwa mtaji ni mali ya nguvu ya jamii. Kwamba mtu mmoja peke yake bila kunyonya wengine hawezi kujilimbikizia mali. Hivyo wanapotaifisha mali hawamnyang'anyi mtu mali binafsi, maana hajaipata kwa nguvu zake.
"Nguvu za kisiasa, na zimeitwa nguvu kwa usahihi kabisa—si kitu kingine bali mpango wa tabaka moja kukusanya nguvu ili kunyonya na kukandamiza lingine."
Sura ya pili.
II. MAKABWELA NA WAKOMUNISTI
Wakomunisti na makabwela wana uhusiano wa namna gani?
Wakomunisti hawaundi chama cha tofauti kikiwa dhidi ya vyama vingine vya tabaka la wafanyakazi.
Hawana maslahi mengine mbali na yale ya makabwela
Hawaundi kanuni zao wenyewe kwa kujitenga na...
Vita haikupiganwa Rufiji tu. Hata huko ziwa Tanganyika ilipiganwa. Wajerumani waliibadili hiyo Liemba kuwa meli vita na ikawa inatawala ziwa Tanganyika. Waingereza walileta boti mbili, zikapita Congo ya wabelgiji hadi ziwa Tanganyika. Lengo ni kupambana na Liemba. Wajerumani walipoona mambo...
Ilipiganwa sana. Tena ilikuwa kali. Ndiyo kisa cha kuzamishwa kwa MV Liemba ili isikamatwe na maadui. Manowari ya kijerumani iliyoitwa Konigsberg iliharibiwa kwenye mto Rufiji ilikokimbilia. Kuna vitabu vinaelezea vita hiyo, kama Mimi and Toutou go Forth na General wa kijerumani wakati huo...
Kulingana na Marx na walioanzisha ukommunisti(Tuite sawa na ujamaa) alisema kuwa haiwezekani kufikia ujamaa bila kupitia ubepari. Na kuna chapter alikemea sana wanaofikiri watafikia ujamaa bila ubepari, akiwaita waota ndoto. Mtu kama Nyerere, wakina Mao na wengineo, waliamini wanaweza kujenga...
Habarini.
Habari za nchi kukimbilia matumizi ya dhahabu zimekuwa nyingi sana siku za karibuni. Ghana baada ya kuzidiwa na madeni na kuishiwa akiba ya fedha za kigeni, imeamua kutumia dhahabu kununua mafuta. Kuanzia mwezi huu makampuni ya kuchimba dhahabu yatatakiwa kuiuzia benki kuu ya Ghana...
"Na mara tu mfanyakazi anapokwisha kunyonywa na bepari, mara tu anapochukua mshahara wake, idara zingine za kibepari nazo humshukia, mwenye nyumba, muuza duka, dalali, nk."
Marx anasema, dini na sarakasi za siasa ni mifumo tu ya unyonyaji inayojivika vilemba ili ionekane mizuri. Lakini ubepari unanyonya bila aibu. "
Kwa maneno mengine, sehemu ya unyonyaji uliojivika kilemba cha dini na viini macho vya kisiasa, umeweka unyonyaji wa wazi, katili na usiojua aibu."
Pengine ukitoa Biblia na Quran, hakuna kitabu kingine kilichokuwa na impact kubwa katika maisha ya watu kama The communist manifesto. Miaka ya katikati ya 1800 wakomunisti ndiyo walikuwa magaidi wa enzi hizo. Basi katika mikutano yao ya siri wakampa kazi bwana Karl Marx kuandaa ilani yao ambayo...
Pengine ukitoa Biblia na Quran, hakuna kitabu kingine kilichokuwa na impact kubwa katika maisha ya watu kama The communist manifesto. Miaka ya katokato ya 1800 wakomunisti ndiyo walikuwa magaidi wa enzi hizo. Basi katika mikutano yao ya siri wakampa kazi bwana Karl Marx kuandaa ilani yao ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.