Recent content by RED BELT

  1. RED BELT

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Sasa unasema Kila wakati sio nyama sio nyama Sasa si useme labda kama wewe unaona kipande Cha tofali hapo au kipande Cha mti sema tu Haina shida Namaliza mada kama ifuatavyo Embryo ni pande la nyama na process inayofuata Baada ya hapo hizo nyama kujigawa kutengeneza organs mbali mbali na...
  2. RED BELT

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Sasa hivi ni vitu gani kama sio pande la damu na pande la nyama?
  3. RED BELT

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Wewe ndio unasema hakuna lakini michoro ya Biology inaonyesha hapo Kuna pande la damu na pande la nyama au we unaona Nini hapo Sio lazima ukubali maana wewe ni kafiri ukikubali utakuwa umetoka katika sifa yako ya ukafiri By the way wewe Sasa ni kama ubao wagalatia wenzako wanasoma na...
  4. RED BELT

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Swali nililokuliza na majibu uliyotoa hata wagalatia wenzako wanakushangaa Hakuna kafiri yoyote katika Dunia hii anayeweza kuthibitisha kuwa Qurani imesema uongo Sasa nakuonyesha ukilaza wako kupitia Qurani na hivyo vitabu vyako vya Biology ulivyoandikiwa na wazungu vyote vinathibishi kuwa...
  5. RED BELT

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Mbona unaruka ruka wakati haya maswali ni marahisi sana au wewe ni kilaza Unataka kuniambia Zygote na Embryo hazina shape Wala rangi? Jibu haya maswali kabla google haijathibisha ukilaza wako Jibu maswali yafuatayo 1) ZYGOTE a) ukiangalia Kwa macha ya kawaida Ina umbo gani na rangi gani...
  6. RED BELT

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Nilidhani umeshaelewa kumbe bado haujaelewa Jibu maswali yafuatayo 1) ZYGOTE a) ukiangalia Kwa macha ya kawaida Ina umbo gani na rangi gani? b) ukiiangalia Kwa Darubini ikoje na utaona vitu gani? Ili uwathibitishie wagalatia wenzako kuwa Quran iliposema ukiiangalia utaona pande la damu kuwa...
  7. RED BELT

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Umeshaelewa tayari ila Sasa kinachokusumbua ni ukafiri ulio nao maana sifa kubwa ya kafiri ni kupinga maandiko ya Allah Na sijawahi kumfundisha kafiri asielewe wewe ndio ungekuwa wa kwanza By the way Qurani ni kitabu Cha kiimani na mawaidha Kwa waislam yanayotoka Kwa Mungu muumba mbingu na...
  8. RED BELT

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Quran 23:14 - Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji. 1)MANII KUWA PANDE LA DAMU A zygote is a...
  9. RED BELT

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Utaelewa tu angalia picha Kisha jibu maswali Ukiangalia hapo Baada ya sperm kuingia katika ovum hapo unaona Nini sio madonge hayo yalioganda? Au wewe unaona hapo Kuna kimiminika? Tokea LIni kimiminika kikawa. Na umbo la yai?
  10. RED BELT

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Acha uongo wewe biology gani inayosema katika fertilization process haipitii stage ya kuwa donge la damu na donge la nyama Sijui mnazungumzia Nini mmeshaona mimba zinazoharibika chini ya miezi 3?
  11. RED BELT

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Unachekesha sana pande la nyama kuwa mifupa umeshaelewa Sasa umerukia katika swali lingine hili ndio swali rahisi kuliko yote Mani kuwa pande damu iliyoganda Ni Kwa sabu hiyo damu haipo katika Hali ya kimiminika Yani hata kama hilo donge la damu utalitoa sehemu Moja na kulipeleka sehemu...
  12. RED BELT

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Quran 23:14 - Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji. 1) Manii kuwa pande la damu 2) pande la...
  13. RED BELT

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Tatizo lako unaongeza maneno ambayo hayapo katika Aya Nionyeshe hapo katika hiyo Aya sehemu inayosema Kuna stage mtoto anakuwa mifupa tupu
  14. RED BELT

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Quran 23:14 - Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji. Hii ndio Aya uliyoitoa tatizo lako...
  15. RED BELT

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

    Nani aliyekuambia kuwa Kuna kipindi katoto kanakuwa skeleton tupu? Yani mifupa mitupu unayoijua wewe Kwa akili zako za kigalatia
Back
Top Bottom