Recent content by Reason 2019

  1. R

    JamiiForums Kuna hiii tabia ya watu kwenye social media wanapost post kuwa wanatibu magonjwa hasa haya ya wanawake

    Tungejifunza kutoka kwa babu we loliondo tungekua mbali unakuta MTU analazimisha kupewa Dawa ya malaria wakat Hana.
  2. R

    JamiiForums Kuna hiii tabia ya watu kwenye social media wanapost post kuwa wanatibu magonjwa hasa haya ya wanawake

    1. Kuna hiii tabia ya watu kwenye social media wanapost post kuwa wanatibu magonjwa hasa haya ya wanawake mfano unakuta MTU anasema Fulani ni bingwa wa kutibu UTI au PID hatukatai Dawa za asili zipo lakini kuna sababu kubwa ya watu kujua ugonjwa kiundani zaidi ndio ujue matibabu huyo MTU...
  3. R

    JamiiForums Uvutaji wa bangi uliokithiri tunaoathirika ni sisi watoto wetu serikali iko wapi.

    We nae jisome watu humu wanapost kero zao haina uhusiano wowote na kuwa mke wa baloz hata nikiwa haikuhusu post ikikuboa pita kule don't comment rubish kwani unateseka???? Kama unateseka na wewee post ..........
  4. R

    JamiiForums Uvutaji wa bangi uliokithiri tunaoathirika ni sisi watoto wetu serikali iko wapi.

    zuzu ni wewe usiyejua madhara ya badae mnakuja hospital hata pesa ya kufanya x-ray hamna. Avute kwa usaarabu sio kuwakera wasiovuta! =QUySt
  5. R

    JamiiForums Uvutaji wa bangi uliokithiri tunaoathirika ni sisi watoto wetu serikali iko wapi.

    Katafute kwenye vitabu sio huku u people don't read eeee???
  6. R

    JamiiForums Uvutaji wa bangi uliokithiri tunaoathirika ni sisi watoto wetu serikali iko wapi.

    Any smoke u inspirate may prespitate to cough kasome respiratory system kasome tena uje na evidence. May be Kama na we ni mvutaji
  7. R

    JamiiForums Uvutaji wa bangi uliokithiri tunaoathirika ni sisi watoto wetu serikali iko wapi.

    ="Kashishi yetu, post: 30088184, member: 216336"]Serikali ndo inakuvutisha bangi kwa lazima? Ni sawa Kama inawavutisha bangi basi ikawataftie sehem ya kuvutia na sisi tupumzike na hii harufu lakini sidhani
  8. R

    JamiiForums Uvutaji wa bangi uliokithiri tunaoathirika ni sisi watoto wetu serikali iko wapi.

    Ni kweli kabisa hata ulevi Fanya ulevi bila kuwakera wenzio yaaniukiingia katika nyumba zetu harufu mbaya ya bangi watu kutwa kuziba pua sasa sisi tukaish wapi na ndo tumejenga makazi yetu.
  9. R

    JamiiForums Wizara ya Afya tafadhali chunguzeni hii tabia ya vituo vya afya vya binafsi kutoa majibu tofauti na vipimo

    kwanza kosa ulilofanya ni kwenda kusema umeenda kupima. UTI na malaria yaani wagonjwa wa stahili hii mnaboaa we elezea Una dalili gani dactari atajua upime nini acha tu mdanganywe mpaka mwisho. Pole
  10. R

    JamiiForums Uvutaji wa bangi uliokithiri tunaoathirika ni sisi watoto wetu serikali iko wapi.

    Wee hujui unachokisema kaa kimya sio lazima ujibu wewe ukiwa ni mtumiaji huwezi elewa tunazungumzia nini kaa kimyaaa and go back to school
  11. R

    JamiiForums Uvutaji wa bangi uliokithiri tunaoathirika ni sisi watoto wetu serikali iko wapi.

    Jamani wakazi wa Morogoro tunachoshwa na uvutaji wa bangi hadharani vyombo vya usalama viko wapi afya zetu zona athirika yaani Moshi wa bangi unajaa majumbani mwetuu watoto wanakohoa daaaah basi Kama mmeruhusu watengeeni sehemu ya kuvutia mbali na makazi ya watu tutapata TB jamaniii.....😤😤😤
Back
Top Bottom