Recent content by realmaestro

  1. realmaestro

    Nyumba ya kupanga Zanzibar mjini

    Nahitaji namba
  2. realmaestro

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Kwa mfano now Mimi nakaa nyumbani kwa kina mshikaji wangu mwezi wa sita saizi. Najichanga pesa ikifika laki mbili au tatu nikitaka kupanga roho inagoma, Nawaza, Hivi itakuwaje nipo Geto halafu mazingira ya kupata pesa yakawa magumu, maana kazi zetu hazieleweki. Nawaza maana siwezi kurudi home...
  3. realmaestro

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Kupanga kunaogopesha
Back
Top Bottom