Recent content by Realgp

  1. R

    Chonde Chonde Serikali tupieni upesi ' Jicho lake Kali ' katika huu ' Usanii ' wa uwekezaji wa GSM, Sevilla na la Liga kwa Klabu ya Yanga

    Ondoka tu brother, waache wenye timu yao waendelee !! Maana uchungu wa kutembeza bakuli wanaujua wao!! Kaa pembeni angalia yanayoendelea! Muda unatasema maana ndio mwamzi sahihi !!
  2. R

    Wabunge wa CHADEMA ni mahiri kwa hoja Bungeni, lakini wepesi kama "Sponji" kwa Mbowe

    hawa jamaa utadhan ni vipofu wanaangalia kibanzi kwenye jicho la wenzao wanasahau boriti kwenye macho yaoo!!
Back
Top Bottom