Kukuwa kwa tasnia ya bongo move sio jambo lakumtegemea mtu au taasisi ni kutumiya akili tuu.
Sasa hivi watu wanaotumika kweny uigizaji ni wale waliokwisha kuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii na kusahau kumbe kuna Watu wenye vipaji wanaoweza kuinua tasnia hii wako mtaani, na wengin ndo sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.