Recent content by ray2807

  1. ray2807

    Msaaada tafadhali

    Kutokwa na ute kwenye uume wakati umechuchumaa au wakati wa kujisaidia haja kubwa ni dalili za ugonjwa wa ngono?
  2. ray2807

    Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

    Aman tu, haudaiw hata jerooooo bt kama ulxhalpa kuna utaratbu wa kuruduxhiwa pexa yako. yan UDOM ni raha xanaaaa
  3. ray2807

    Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

    2mor mi naenda dodoma nkajionee mwenyeweeee
  4. ray2807

    Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

    Mi nmepata kitu kipya mda sio mrefu, namba ya mdhamin ambayo nliijaza kwenye fomu ya bodi ya mikopo imeingia sms inayosomeka "Benki ya CRDB Tawi la UDOM inakupongeza kwa kupata nafasi ya kujiunga na chuo kikuu cha Dodoma. Tunakutakia masomo mema katika kipindi chote utakapokua 'some text...
  5. ray2807

    Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

    Mi nxhaanza kua na wasiwasi juu ya mkopo kwa diploma ya ualimu chuo kikuu cha dodoma, hivi inawezekana bodi ya mikopo wametusahau au? Sababu mi bado cjajua unawezaje kurpot chuoni wakati bodi ya mikopo hawajatoa pesaaaa? Ebu mwenye taarfa mpya anijulxhe
  6. ray2807

    Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

    Ile ni xpexho program na walihaid lazma watoe mkopo ili wanafunz waweze kujkmu xo 2waxubr wafanye yao
Back
Top Bottom