Recent content by Ray J Enterprise

  1. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ya Kupunguza ajali za barabarani kwa madereva walevi Tanzania

    Ni kweli kabisa ndugu yangu tunachukulia poa sana uhai wa watu lakini ni muhimu sana Ni kwa magari aina zote yanakuwa na mfumo huu haijalishi ni aina gani ya gari kikubwa system hii ya detector ifungwe na dereva kabla ya kuanza safari ajulikane kuwa hajanywa pombe
  2. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ya Kupunguza ajali za barabarani kwa madereva walevi Tanzania

    Haiko sawa ngoja nirekebishe kidogo nilikuwa namaanisha ni changamoto sana
  3. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ya Kupunguza ajali za barabarani kwa madereva walevi Tanzania

    Asante sana kwa mawazo ya kujenga
  4. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ya Kupunguza ajali za barabarani kwa madereva walevi Tanzania

    Ni kweli maana uzembe na ulevi wakati wa kuendesha ni chanzo kikubwa cha ajali barabarani
  5. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ya Kupunguza ajali za barabarani kwa madereva walevi Tanzania

    Utangulizi: Kuendesha gari ukiwa mlevi bado ni suala lenye changamoto duniani kote, na kusababisha ajali nyingi, majeraha, na vifo kila mwaka. Nchini Tanzania, kama ilivyo kwa mataifa mengine, ajali za barabarani zinazohusisha madereva walevi ni tishio kubwa kwa usalama wa raia. Ili...
  6. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ya upigaji kura kwa kutumia namba ya NIDA

    Guys nipigieni kura sasa
  7. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ya upigaji kura kwa kutumia namba ya NIDA

    Mazoea tu ndio yanatuchelewesha kufika
  8. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ya upigaji kura kwa kutumia namba ya NIDA

    🤣🤣🤣🤣 Wataelewa tu kila kitu kina mwanzo na mwisho
  9. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ya upigaji kura kwa kutumia namba ya NIDA

    Sawa mkuu lakini vyovyote vile tunataka haki itendeke
  10. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ya upigaji kura kwa kutumia namba ya NIDA

    🤣🤣🤣🤣 Kinapaswa kubadilika
  11. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ya upigaji kura kwa kutumia namba ya NIDA

    Tutafika tu ndugu yangu kumbuka tunazungumzia Tanzania ijayo..
  12. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ya upigaji kura kwa kutumia namba ya NIDA

    Asante sana usisahau kunipigia kura yako 🙏🙏
  13. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ya upigaji kura kwa kutumia namba ya NIDA

    Nchi za wenzetu wanafanya ni inshu ya kuwa na mtazamo chanya na uzalendo kwa nchi zetu ujanja ujanja unatugharimu
  14. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ya upigaji kura kwa kutumia namba ya NIDA

    Majaribio yatafanyika kabla ya utekelezaji
  15. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Teknolojia ya upigaji kura kwa kutumia namba ya NIDA

    Ni kweli kabisa
Back
Top Bottom