Recent content by RATCO

  1. R

    Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    Kishombo, mzee Mohamed salim(Ratco) ni rafiki yake mzee shabiby kwahiyo kaampa ushauri tu ya kuleta mabasi na hakushare. Na mfunguzi wa hayo mabasi ni Riziwany. Mali hajagawana na mtu yeyote mali ni zake mabasi ni yake na kampuni ni yake!!! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  2. R

    Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    ratcoltd@yahoo.co.uk 0655555682 Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  3. R

    Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    The Fixer idea sio ya Riziwani ni ya Mzee Shabiby mmiliki wa mabasi ya shabiby na ufunguzi ni kweli alifungua Riziwani Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  4. R

    Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    Kwasababu watu waweze kuniuliza maswali mengi! Sio ya kikazi tu!! Umeelewa dogo?? Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  5. R

    Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    kwani ww inakuuma nn?? Au unataka uwe mwanae pia?? Lol Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  6. R

    Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    Chunga maneno yako kijana Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  7. R

    Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  8. R

    Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    Unaweza kuweka booking kwa njia ya simu. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  9. R

    Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    Asanteni sana. Na asiwadanganye mtu akisema ni ya Riziwani. Mchana mwema Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  10. R

    Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    Siti 12 V.I.P itakuwa ni shilingi 35000TZS. Na siti za kawaida zipo kama 30 kama sikosei na bei yake ni kawaida ni 18000TZS. Na itakua Dar-Arusha-Tanga na Tanga-Arusha-Dar. Huduma za V.I.P ni kama ifuatavyo, punde ukiinngia tu kkwenye basi utapewa kinywaji ambacho itakua ni Juisi halafu...
  11. R

    Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  12. R

    Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    Ndio Amla Gemela ndie, na asante. Na nisawa alivyosema huyo ndugu hapo juu kwamba Ratco ni Kampuni ya zamani lakini hawagawani mali, Mali hiyo ni ya mtu mmoja tu. Kuna magari mawili mapya yataingia hivi karibuni Tanzania, itakua ni 2 by 1 V.I.P. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  13. R

    Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    Niliamua kumtambulisha kwa sababu, watu wakidhani ni Riziwani ndie mmiliki wa mabasi hayo na bado mpaka hivi sasa sijajua ni kwanini munasema Riziwan??? Hilo bado ni swali langu Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  14. R

    Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    Samahani kwa kutokuweka picha. Yake lakini kama wewe ni kweli mkazi wa Tanga, ni lazma utakua unamjua! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  15. R

    Ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express?

    Nadhani unajua kilichomtokea mzee Saad Said(Home shopping centre) so sitaki yamtokee mzee wangu, kama unataka amini au usiamini!!! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Back
Top Bottom