Recent content by raslimali

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu apunguze mvua za El Nino au tumshukuru kwa maji ya kutosha kwa kilimo cha umwagiliaji

    Ndio nashindwa kuwaelewa hawa viongozi wetu wa dini. These are natural laws. Kwenye tectonic plates wenzetu huwa wanaweka sensors za kuashiri tetemeko ili watu waondoke japo si zote zinakuwa effective. Sasa tetemeko la ardhi utalizuia kwa maombi na kufunga au kulikemea kwa jina la Yesu? Jamani...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu apunguze mvua za El Nino au tumshukuru kwa maji ya kutosha kwa kilimo cha umwagiliaji

    Wanajua Mungu wa namna hiyo hayupo. Ila Mungu wao waliemtengeza kwenye fikra wa kufanya WEATHER CONTROL ndiyo yupo!!
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu apunguze mvua za El Nino au tumshukuru kwa maji ya kutosha kwa kilimo cha umwagiliaji

    Mambo ya ajabu kabisa. Ni kama mtu anapanda mbegu ya mchicha leo halafu anaomba na kufunga ile mbegu iote mti wa mparachichi. Mungu/nature hana muda na upuuzi huo. The genetical code is already written in the seed. Sasa wewe unafunga na kukesha Mungu abolished genetically code iwe ya mmea...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu apunguze mvua za El Nino au tumshukuru kwa maji ya kutosha kwa kilimo cha umwagiliaji

    Tutumie talanta zetu alizotupa Mungu vizuri. Tusiwe kama yule mtumishi kwenye Biblia amaye alipewa talanta bdala ya kuifanyia kazi akaichimbia kwenye vumbi. Badala ya kwenda kwenye mkesha tutumie talanta/akili Mungu alizotujalia labda kila mtu ashike jembe halafu wataalamu wa mambo ya maji...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu apunguze mvua za El Nino au tumshukuru kwa maji ya kutosha kwa kilimo cha umwagiliaji

    Asante. Sasa ndio nauliza hizi akili zinatupeleka wapi ? It is a natural phenomenon. Limeanzia huko bahari ya Pasifiki. Ni sheria ambayo code ya Mungu/ nature imeiandika. Yeye ametaka iwe hivyo. Sasa tuanze tena kuomba na kufunga ili Mungu aiandike upya code yake. Jamani ! Hii ni fursa Mungu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu apunguze mvua za El Nino au tumshukuru kwa maji ya kutosha kwa kilimo cha umwagiliaji

    Asante sana kwa mchango wako. Lakini nina swali ambalo hakuna aliyenijibu mpaka sasa. ROHO NI NINI? Maana unaposema mambo ya kiroho lazima kwanza utuambie roho ni nini. IS A SPIRIT AN IMMATERIAL OR AN ABSTRACT IDEA THAT HIMANS THEMSELVES HAVE INVETED? Roho ni kitu gani? Maana ukisema ni...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu apunguze mvua za El Nino au tumshukuru kwa maji ya kutosha kwa kilimo cha umwagiliaji

    Sawa. Tutumie hii fursa kuvuna maji ya kutosha . Kama mtu amejenga huko mabondeni asiende kwenye maombi ya kumuomba Mungu maji yasizoe nyumba yake. MUNGU HANA MUDA NA WATU WAPUMBAVU. Nyumba yako itsombwa na maji hata kama umekesha na kufunga. God/nature's laws/codes are eternal. Usitake ujinga...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mungu apunguze mvua za El Nino au tumshukuru kwa maji ya kutosha kwa kilimo cha umwagiliaji

    Nimewasikia baadhi ya viongozi wa dini wakiandaa maombi ili Mungu aepushe madhara ya mvua kubwa zinazotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Kwa nini tusimshukuru Mungu kwa neema hii na tujenge miundombinu bora na tuvune maji ya kutosha kuepuka uhaba wa maji na kufanya kilimo cha umwagiliaji kipindi cha...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu za MTIPITIPI (rosary pea/jequiry bean)?

    Elfu saba
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu za MTIPITIPI (rosary pea/jequiry bean)?

    Elfu saba.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu za MTIPITIPI (rosary pea/jequiry bean)?

    Kama unayo tuwasiliane
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu za MTIPITIPI (rosary pea/jequiry bean)?

    Kama unayo nitumie namba yako tuwasiliane
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu za MTIPITIPI (rosary pea/jequiry bean)?

    Ni mmea unaoota maeneo mengi Tanzania. Kama unaweza kupata mbegu zake nijulishe bei ya kilo moja.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Huyu tapeli mwenye namba +255799102280 tangu jana ananisumbua eti yeye ni vodacom customer care!

    Amenipigia jana nikamwambia nipigie kwa namba 100 akasema kuna tatizo la kimtandao ndiyo maana anatumia private number!! Anasema kuna mteja amekosea namba amenitumia milioni moja na laki sita kwahiyo ametuma malalamiko vodacom nimrudishie pesa zake!!!! Nimemuambia magereza inamhusu maana...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Waliokufa wamekwenda wapi??

    https://youtu.be/mWDFRMPng00?si=xeyEvsHcsPs2G4hE
Back
Top Bottom