Recent content by Rashmohd

  1. Rashmohd

    Natafuta nafasi ya kazi Tabora na mikoa mingine

    Habari wanajamii forums, naitwa Rashid ni kijana wa kiume 24 muhitimu chuo kikuu mzumbe Morogoro katika shahada ya public administration in local government management mwaka 2026. Natafuta nafasi za kazi yoyote katika mkoa wa Tabora mjini, dar es salam na mingineyo..Ninauzoefu katika maswala la...
  2. Rashmohd

    Natafuta nafasi ya kazi Tabora na mikoa mingine

    Chuo kikuu mzumbe
  3. Rashmohd

    Natafuta nafasi ya kazi Tabora na mikoa mingine

    Ahsante nimekuelewa nitapost tena nikitaja sifa zangu na nilichosomea
  4. Rashmohd

    Natafuta nafasi ya kazi Tabora na mikoa mingine

    Sijaona post zao
  5. Rashmohd

    Natafuta nafasi ya kazi Tabora na mikoa mingine

    Naitwa Rashid, kijana wa kiume 24, muhitimu chuo kikuu 2026, natafuta kazi yoyote kama cleaner, gas station attendant n.k ndani ya mkoa wa Tabora mjini, pia nipo tayari kufanya kazi ndani ya Dar es salam.. Ahsanteni
Back
Top Bottom