Recent content by Rashidmayunga

  1. Rashidmayunga

    Natafuta gari la kufanyia taksi mtandao - Bolt & Uber. Nina uzoefu wa miaka mitano

    Namshukulu sana kaka kwa maombi yako. Na habar njema nikuwa nipo kazin hiv sasa nimepata gari leo nina siku ya tatu bara baran
  2. Rashidmayunga

    Natafuta Kazi ya udereva wa Bolt

    Kama ina gesi naleta 250,000 kwa week 0759280756
  3. Rashidmayunga

    Natafuta gari la kufanyia taksi mtandao - Bolt & Uber. Nina uzoefu wa miaka mitano

    Gari ya mafuta esabu 150,000 kwa week. Gari gesi hesabu 200,000 kwa week. Uaminifu ndio mtaji wangu nitatoa details ninapo ish na id yangu ya nida pamoja na details za mzamin wangu. Kwa meng zaid nipigie kwa namba zangu. Voda 0759280756 Tigo 0659280756 Airtel 0689280756
  4. Rashidmayunga

    Natafuta gari la kufanyia taksi mtandao - Bolt & Uber. Nina uzoefu wa miaka mitano

    Natafuta gari ya kufanyia taksi mtandao - maarufu Bolt au Uber. Uzoefu ni miaka mitano hapa Dar es Salaam. Kwa mwenye gari anipigie kwa namba 0759280756. Gari ni IST, Sienta, Passo, Ractis, Raum au Vitz
Back
Top Bottom