# HAKUNA_UHURU_TZ_NA_HAUTA_PATIKANAWatu wengi wenye uwezo mdogo wa kufikiri hudhani kuwa Tanzania ni nchi huru auAfrika kuna nchi huruuhakika wa mambo ni kuwa nchi hizi hazija pata uhuru na hazito upata uhuru chini yamfumo wa democrassia na ubepari wakekilicho fanyika ni uongo hadaa na utapeli...
Kuhusu madawa ya kulevya ni sawa na kujisumbua kutafuta nani auzae pasina kuzingatia suluhisho la kudumu kiulimwengu ubepari umetawala kutokana na misingi yake mibovu ya sera za kutawalia ndio kuzuka kwa kila kitu leo hii mfano uhuru wa kumiliki umeweka magape makubwa sana kwa sababu ya kutokua...
😷😷😷 kanuni yenye kuvunja UHURU wa KUJIELEZA NA RAI.
Hivi ndivo mfumo kafiri unavyojimaliza kama alivyosema mwenye mfumo huo makamo WA kwanza na rais wa pili wa America John Adams(30:9:1735-4:7:1826)
"REMEMBER DEMOCRACY NEVER LASTS LONG.IT SOON WASTES,EXHAUSTS AND...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.