Dhana ya dunia kuwa ni Duara inabidi tutafakari upya. Kuwaamini wakina newton katika dunia ya leo yataka moyo. Mfano mdogo, Katika ramani ya Dunia inayoonekana picha yake huwa inaonesha dunia nzima, ingekuwa duara tusingeona dunia nzima kwa ukubwa wa dunia. Pili, hakunaga picha kutoka chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.