Recent content by Raphael Leao

  1. Raphael Leao

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Wakubwa, episode no.9 season 2 sijaona,mnisaidie link yake
  2. Raphael Leao

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Bado uko dodoma?
  3. Raphael Leao

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    [emoji16][emoji16] an kwa jinsi alivyotoa somo huyu mwamba unaanzaje kuikosa picha ya Iryne! Alituma japo badae alifuta na mtoto wake ninazo,but kwa heshima ya INSIDER MAN swez kuituma humu, kufungua code ya mkuu hpn,mtulie hivo hivo Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
  4. Raphael Leao

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ahsante brother, ubarikiwe sana,ushauri tu , ongeza tena mtoto kwa Iryne yuko tiari sio dhambi tulimbwa kuja kuujaza Ulimwengu na uko kwenye uchumi mzuri hakuna cha kukushinda INSIDER MAN.
  5. Raphael Leao

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Duh [emoji849] kuna watu hamna shukran kabisa,
  6. Raphael Leao

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Lakini huo wimbo unanipa wasi wasi kama Iryne alishikilia Misimamo yake alipofika S.Africa yamkini alimsahau Mwamba wetu[emoji846][emoji144]
  7. Raphael Leao

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Heshima kubwa sana kwako brother INSIDER MAN [emoji1666]nimekuwa mfuatiliaji wa toka mwezi wa 8 kimya kimya mpaka leo unafikia tamati, Umenifunza mengi sana [emoji120] kwenye hustle zako M/Mungu aendelee kukujalia afya njema siku zote,pamoja na familia yako. Nitakutafuta kaka tufanye biashara...
Back
Top Bottom