Recent content by Raphael B

  1. R

    JamiiForums Tanzania Sitasubiri kumpongeza Cyprian Musiba

    NAJIBU NAKUJIBU SIKUTUKANI NAKUJIBU KWA HOJA SAFI KAMA ULIVYOMTETEA MUSIBA KWA HOJA . Naanza kwakukueleza kuwa ingekuwa Musiba aliwataja watu hatari kama mwandishi wa habari kweli yaani kasimama kwenye taaluma yake kama mwandishi hapo tungesapoti na kumuunga mkono . Lakini kwa kuja kuzungumza...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Hatupigiani kura kwa kujuana uzalendo wa kipuuzi hauna nafasi duniani ,anayestahili ndiye atakayepata kura yangu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Swala ni kumpigia kura anayefaa,na kukizi vigezo habari za kupiga kura eti kwakuwa ni watanzania tu mtapoteza maana ya awards hizo ! Kwani hata walioingia kwenye kinyanganyiro kwa kuchakachua mtawapa nafasi bila kujua .
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyetuma picha za Nyufa za Hosteli za Magufuli UDSM akamatwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Tatizo /kosa lake ni nini ? Polisi wamemkamata awasaidie nini ? Aliyepiga picha hiyo ni yeye peke yake tu ?# Kuna tatizo gani katika nyumba ile ???????
Back
Top Bottom