Recent content by Ramoko

  1. R

    Hongera Juma Duni: Vituo 8,500 vimepungua toka 72,000 hadi 63,500

    Ukweli ni kwamba bado kuna tatizo la bao la mkono hapa!. Tume imetangaza kuwa, waliojiandikisha kwa halali ni watu 23,782,558. Kama ni kweli wastani ya wapiga kura wanaotakiwa kwa kila kituo ni 450, basi unahitaji wastani wa vituo 52,850. Lakini NEC wanasema wanahitaji vituo 65,000. Hii ni...
  2. R

    CHADEMA sasa waonja machungu ya Lowassa

    Kwani magufuli ameandikiwa ataishi milele?!!!!!!!!
  3. R

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    Kwanini Dr alichukua mshahara wa August na kundelea kutumia Mali za chama kama tayari alikuwa ameshajiuzulu toka July?!!!!
  4. R

    Lowassa atembelea Masoko ya Tandale, Kariakoo na Tandika Jijini Dar es Salaam

    Cheap popularity??? Realy?!!!!!!! The guy is popular big time!. Haitaji kwenda mitaani kufatuta huo umaarufu.
  5. R

    Lowassa atembelea Masoko ya Tandale, Kariakoo na Tandika Jijini Dar es Salaam

    Wakati watu wanafikiri kuwa kampeni inafunguliwa kwa mikutano Jwangwani, jamaa anaanza kwa kuwatembelea wapumbavu wenzake mitaani kuwajulia hali. jamaa anatisha!!
Back
Top Bottom