Recent content by Ramakdollaz

  1. R

    JamiiForums Tanzania Simba ni kubwa kuliko Kibu

    Nadhani ni muda sahihi wa yeye kupata pesa nzuri, huwa tunawachukulia poa sana wachezaji wetu wazawa kwenye maslahi na kuwapa pesa nyingi hawa wakigeni, as long as anafika mazoezini anacheza mechi basi acha awatikise kidogo ili wamboreshee maslahi yake, football ni kazi ya muda mfupi sana
Back
Top Bottom