Recent content by Ramadhani Said

  1. R

    ESCROW ACCOUNT ilifunguliwa mwaka 2006 Edward Lowassa akiwa PM, Karamagi waziri wa nishati

    Pimbi baba yako.. Tumbili kakurupuka lakini katusaidia kuwajua wezi akina liwasa, chenge na wenzake kisha wanajifanya kujiweka pembeni na kumrushia shutuma Pinda ili wao waonekane wasafi.
  2. R

    ESCROW ACCOUNT ilifunguliwa mwaka 2006 Edward Lowassa akiwa PM, Karamagi waziri wa nishati

    Huyo boya si mnafiki tu.. tena huyu jamaa angekua mtaani kwetu angevishwa dela sometime anakua na mambo ya kinafki kama changu kila.mwanaume baby.
  3. R

    ESCROW ACCOUNT ilifunguliwa mwaka 2006 Edward Lowassa akiwa PM, Karamagi waziri wa nishati

    Hata iweje Chenge ni bingwa wa mikataba ya kugisadi mzee wa vijisenti nani asiyemjua.
  4. R

    ESCROW ACCOUNT ilifunguliwa mwaka 2006 Edward Lowassa akiwa PM, Karamagi waziri wa nishati

    Nimesoma katiba nimeliona hili Ibara ya 90 (a) inampa mamlaka Rais kuvunja bunge wakati wowote ndani ya miezi 12 ya mwisho kufikia kufikia uchaguzi mkuu! 90 (d) inampa uwezo kuvunja bunge endapo litakataa kupitisha azimio lenye maslahi kwa sera za serikali endapo Rais hayuko tayari kumteua...
  5. R

    ESCROW ACCOUNT ilifunguliwa mwaka 2006 Edward Lowassa akiwa PM, Karamagi waziri wa nishati

    Zito na Kafulila wapo bungeni leo kwa ajili ya mahakama kwani uongo??
  6. R

    Mangula Amuonya Mizengo Pinda, Agawa Pesa za ESCROW kama Njugu

    Kweli mijizi na minyani tupo wengi akiwepo baba na mama yako maana wao wakati wanazaliwa hakukua na Chadema Cuf wala matapeli na mashoga kama ilivyo leo si ajabu hata wewe ulianza kua ibilisi kama ulizaliwa chini ya 92.
  7. R

    Mangula Amuonya Mizengo Pinda, Agawa Pesa za ESCROW kama Njugu

    Muulize baba na mama yako kwakua walizaliwa ndani ya CCM wao wanajua zaidi.
  8. R

    Mangula Amuonya Mizengo Pinda, Agawa Pesa za ESCROW kama Njugu

    Hata wanaowaunga mkono hapa pia ni wachwara vilevile.
  9. R

    BBC Dira ya Dunia: Mh. Mizengo Pinda akiri kugombea Urais kimya kimya

    Mimi nashangaa sana watu wameshikilia kulia kulia na kusema wapigwe eti hicho na vingine vidogo vya kipuuzi tu tayari mnamdisqualify. Mbina mwenyekiti nyumba ya jiran kazi yake kutia mimba tu na hamsemi?? Na yeye ni binadamu gani asiekosea na kwamba asijirekebishe??? Mbnoa anayo mazuri mengi au...
  10. R

    Mangula Amuonya Mizengo Pinda, Agawa Pesa za ESCROW kama Njugu

    Mambo walioandika wakurupukaji kwa influence za kisiasa ili kumchafua nankumsafishia fulani zitawashika na kuwahada washamba na wakurupakaji. Na wao watasimama kwa matakwa ya kutumwa kila siku kama.majini viva Pinda mti wenye matunda na tishio la wote kuelekea ikulu 2015.
  11. R

    Mangula Amuonya Mizengo Pinda, Agawa Pesa za ESCROW kama Njugu

    Wana lao jambo na wametumwa ili kumsafisha fulani maana haya yalikua hayasemwi hadi akitangaza nia na inaonekana asingetangaza wasingesema sasa inaoneka kuna watu wanamhofia sna na ndo maana wanamchafua kwa style hii.. kwa wanania njema basi watoe ushahidi na pia waseme na mazuri yake pia.
  12. R

    Mangula Amuonya Mizengo Pinda, Agawa Pesa za ESCROW kama Njugu

    Yani wewe ndo wa mwisho kabisa, hatukatai kama kuna rushwa au la tunachotaka ni ushahidi halafu kwanini atajwe pinda tu ina maana yeye ndo mla na mtoa rushwa pekee hao chadema na cuf au nccr au tlp hawatoi tshirt, kofia, wengine magwanda, nk au unadhani atuoni ni chama gani leo hakina hayo...
  13. R

    Mangula Amuonya Mizengo Pinda, Agawa Pesa za ESCROW kama Njugu

    Tupe huo ushahidi wakati pinda anatoa rushwa au na wewe umepewa nini na fungu likawa dogo?? Maana kama kuna udhahidi inamaana nyie ndo pccb?? Na kama ndio kamkamateni basi kama sio ushahidi utieni hapa au pelekeni pccb mtahukumuje wakati hamjamshika nayo??. Tunataka ushahidi sio maneno makavu na...
  14. R

    Mangula Amuonya Mizengo Pinda, Agawa Pesa za ESCROW kama Njugu

    Labda mazombie pekee ndo wanaweza wasitambue kama ni binadamu.
  15. R

    Mangula Amuonya Mizengo Pinda, Agawa Pesa za ESCROW kama Njugu

    Umeona eeeh unadhani wanaweza sifia wakati wanajua fika kufankufaana. Ok anyway ngoja tupotezee muda
Back
Top Bottom