Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 naishi Dar es salam nimejitokeza kwenu kutafuta kazi ya udereva wa magari kwa mwenye nayo naomba anijulishe hata gari la mtu binafsi nitaendesha au kwenye kampuni pia.
Nina leseni halali na elimu yangu kidato cha nne nina uzoefu wa miaka mitatu nikiwa...
Mimi ni kijana umri miaka 25 elimu yangu kidato cha nne natafuta kazi ya udereva magari madogo au kumuendesha mtu .
Nina leseni halali ambapo nina uzoefu barabarani kwa miaka mitatu nimejitokeza kwenu kuomba kazi naombeni kwa mtu yeyote anaehitaji dereva mawasiliano yangu 0653072455
Mimi ni kijana umri miaka 25 natafuta elimu yangu kidato cha nne natafuta kazi ya udereva magari madogo ikiwemo kumuendesha mtu na kadhalika.
Nina leseni yangu halali ambayo nina uzoefu barabarani kwa miaka mitatu sasa kiukweli naombeni kwa mtu anaehitaji dereva awasiliane na mimi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.