Jamaa aliniuzia pikipiki kwa ml3.7 kwa awamu 2 ndani ya mwezi mmoja.
Ya kwanza tar14 Sept nilimpa ml2.4 tukaandikiana shahidi wake ni mke wake(ni Mbongo). Malipo ya kwanza tulikubaliana nichukue copy za nyaraka za pkpk.
Tar14oct nikaenda nyumbani kwake kumalizia malipo nayeye anikabidhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.