Habari ndugu Auto-Marvelt Ulichosema kina mashiko kihisia, lakini kisheria tuna mifumo inayoweka utaratibu maalum pale ambapo mume au mke anapopotea bila mawasiliano kwa muda mrefu, na haijulikani kama yuko hai au la.
⚖️ Kisheria, Ndoa Haiwezi Kusubiri Kimya cha Milele Bila Hatua Rasmi
Sheria...
Habari ndugu hamada umelewa asante kwa swali zuri.
Kwanza kabisa sheria zetu za Tanzania ambazo zipo kimaandishi katika suala hili mtambuka ni sheria ya ndoa Tu, lakini bado hata kwa mtu ambaye hakuonekana kwa kipindi kirefu kama ulivyotoa mfano wa bwan. Ben bado mtu anaweza kwenda mahakamani...
Presumption of Death katika Sheria ya Ndoa na Mirathi
➡️ Je, mtu anapotea bila mawasiliano kwa miaka mitano mfululizo… je, bado ni mume/mke wako halali?
➡️ Je, bado atahesabika yupo hai? unaweza kufungua mirathi bila cheti cha kifo chake?
➡️ Au kuolewa tena bila talaka?
Hili si swali la...
UKAMATAJI, KIZUIZI NA MIPAKA YA MAMLAKA: HAKI ZA MSINGI KATIKA SHERIA YA TANZANIA
Katika mazingira ya kawaida ya maisha ya kila siku, si jambo la ajabu kusikia mtu amekamatwa either barabarani, ofisini au hata nyumbani kwake mbele ya familia. Wapo waliowahi kushuhudia mtu akibebwa kimya kimya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.