Hizi ni faida za kiafya za kula tunda papai
Papai ni katika matunda yayayopatikana maeneo mengi duniani. Tunda hili limekuwa likizungumziwa sana na watoaji wetu wa tiba za kiasili na hata za hospitalini. Yapo matunda mengi sana yenye sifa hizi za kutajwa katika nyanja za tiba ama vile ndimu...
Sorry unajuwa bado sijajua kutumia vuzuri huu mtandao, nilitaka kuongeza picha ya nde ivi sasa nikagundua picha hijafika ndipo nijaona repy yangu niifute, pia hata hivyo sina uhakika kama nimefuta yangu tu ama na ile nilokuwa naireply
Maajabu ya Cheetah mnyama anayekwenda mbio zaidi kuliko wanyama wote nchi kavu.
Huyu ni katika wanyama jamii ya paka, na anafanana zaidi na mnyama anayeitwa puma. Cheetah ni mnyama mwindaji kama walivyo chui, simba na mbwa mwitu. Ijapokuwa cheetah wanafanana kwa sura na maumbile lakini unaweza...
Yajuwe maradhi ya ini na dalili zake
JE! UNAJUWA KUWA:-
Ini ni katika viungo muhimu sana katika mmeng'enyo wa chakula mwilini. Ini husaidia kuondosha sumu za vyakula na katika utunzaji wa glucose ambayo hutumika katika kutupatia nguvu na nishati. Kiungo hiki kinaweza kushambuliwa na maradhi...
MATATIZO YA CHOO KIDOGO NA VIJIWE KATIKA FIGO
Figo ni kiungo muhimu katika uchujaji wa Damu na kuondoa sumu na uchafu mwingine na kuutoa nje kupitia mkojo. Kiungo hiki kinakabiliwa na hatari nyingi kama hakitatunzwa vyema. Miongoni mwa athari hizo ni vijiwe vya kwenye figo. Endapo hivi vitatokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.