Habari za muda wana JF,
Katika harakati zangu za maisha nimejikuta tu nadondokea Njombe.
Nina wiki mpaka sasa. Maisha yamenichapa balaa. Mfukoni nina kama 1.5M, nikawa nawaza biashara ya viazi, kwa maana ya chips.
Naomba wazoefu wa mkoa huu wanaoujua vizuri wanielekezee. Hii biashara inalipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.