Recent content by Rais wa wapare

  1. Rais wa wapare

    Utaratibu wa kuomba faili la kesi mahakamani

    Kwanza kabisa natanguliza shukrani Nina kesi ya madai mahakama ya wilaya lakini kwa bahati mbaya mwisho wa kesi ikagundulika imekosewa jina la mdaiwa ikabidi isimame utekelezaji wake.sasa mimi ninataka nifungue kesi upya.Lengo la kuja hapa wadau ninaomba kujua utaratibu na jinsi ya kupata...
  2. Rais wa wapare

    Jina la mdaiwa limekosewa; Je linaweza kubadilishwa na kuendelea na kesi pale ilipoishia?

    Abdul S Naumanga Habari kiongozi natumaini u mzima wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku. Baada ya siku kadhaa kupata muongozo kutoka kwako leo hii nimerudi tena kuomba muongozo. Nilifuata maelekezo yako nikatafuta mwanasheria nikamueleza lakini yeye hakuniambia kuhusu...
  3. Rais wa wapare

    Jina la mdaiwa limekosewa; Je linaweza kubadilishwa na kuendelea na kesi pale ilipoishia?

    Pascal Mayalla Habari kiongozi natumaini u mzima wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku. Baada ya siku kadhaa kupata muongozo kutoka kwako leo hii nimerudi tena kuomba muongozo. Nilifuata maelekezo yako nikatafuta mwanasheria nikamueleza lakini yeye hakuniambia kuhusu chamber...
  4. Rais wa wapare

    Jina la mdaiwa limekosewa; Je linaweza kubadilishwa na kuendelea na kesi pale ilipoishia?

    shukrani kwa msaada wako mkuu umenipa muongozo mzuri asante🙏🙏
  5. Rais wa wapare

    Jina la mdaiwa limekosewa; Je linaweza kubadilishwa na kuendelea na kesi pale ilipoishia?

    Asante sanaa kiongozi kwakweli umenipa mwanga sasa nashukuru sana🙏🙏
  6. Rais wa wapare

    Jina la mdaiwa limekosewa; Je linaweza kubadilishwa na kuendelea na kesi pale ilipoishia?

    Ahsante mkuu kwa muongozo wote...ila hii inaonekana ni big mistake mkuu au linarekebishika na kuendelea?
  7. Rais wa wapare

    Jina la mdaiwa limekosewa; Je linaweza kubadilishwa na kuendelea na kesi pale ilipoishia?

    NB: Jina la hiyo kampuni daiwa lilikosewa tangu kesi inaanza na ilikosewa herufi moja tu na ile nadhani ni summons(kama sijakosea) iliyopelekewa hiyo kampuni daiwa ilikuwa na makosa hayo. je kwa hapo inawezekana kuendelea na utekelezaji wa hukumu maana makosa hayo yalitokea tangu mwanzo wa kesi...
  8. Rais wa wapare

  9. Rais wa wapare

    Jina la mdaiwa limekosewa; Je linaweza kubadilishwa na kuendelea na kesi pale ilipoishia?

    kesi ipo mahakama ya wilaya temeke na ni utekelezaji wa hukumu mkuu
Back
Top Bottom