Kwa wale ndugu zangu wa kujitolea kwa ajili ya ujenzi na uzalendo wa taifa letu, Tayari nafasi zimetoka hivyo ni muda wa kuandika Barua za maombi ya kujiunga na jeshi.
Kwa maelekezo zaidi tembelea tovuti ya jeshi www.jkt.go.tz
Naomba kuwasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.