Recent content by Rahy

  1. R

    JamiiForums Tanzania KISWAHILI: Naomba maana ya maneno haya...

    Ahsante sana nimepata uhakika yaani kiswahili mbona kinaanza kuwa kigumu :-D
  2. R

    JamiiForums Tanzania KISWAHILI: Naomba maana ya maneno haya...

    Habari za hapa naomba mana ya maneno:- kipeto cha kiolesura
  3. R

    JamiiForums Tanzania KISWAHILI: Naomba maana ya maneno haya...

    Habari za hapa viajan wenzangu. Kwa kweli hapa mimi ni mgeni lakini nimefurahishwa sana na forum hii. Jana nilikuwa nasoma habari katika mtandao wa bbc nikapata habari mmoja nzuri kweli kwamba Microsoft anatoa software kwa lugha ya kiswahili ambayo lugha hii kwa sasa inazungumzwa takriban...
Back
Top Bottom